Kaseja Mchezaji Bora Wa Januari Ligi Kuu Tanzania bara
Golikipa wa timu ya Kagera Sugar, Juma Kaseja Juma amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom wa mwezi Januari kwa msimu wa 2016/2017.Kaseja aliwashinda wachezaji Mbaraka Abeid pia wa...
View ArticleMalinzi Azipongeza Singida United, Njombe Mji
Mara baada ya wiki iliyopita Shirikisho la soka nchini (TFF) kuipongeza timu ya Lipuli ya Iringa, leo Jumanne Februari 21, mwaka huu kwa mara nyingine, Rais wa TFF Jamal Malinzi amezipongeza kwa...
View ArticleMkutano Wa Baraza Kuu La Bodi Ya Ligi Februari 26, 2017
Mkutano wa Tatu wa Baraza Kuu la Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) chini ya Mwenyekiti wake Bw. Hamad Yahya Juma utafanyika Jumapili, Februari 26 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Wajumbe wa Mkutano huo wa...
View ArticleWafanyabiashara Wa China Wakaribia Kuinunua AC Milan
Biashara ya kuuzwa kwa klabu maarufu na kongwe mjini Milan nchini Italia AC Milan, inatarajiwa kukamilishwa mwezi ujao kwa kumshirikisho mmiliki wa sasa Silvio Berlusconi dhidi ya wawekezaji kutoka...
View ArticleNape Kuzindua Mfuko Wa Kusaidia Serengeti Boys
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Nape Nnauye (Mb) kesho Februari 23, 2017 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa miguu kwa vijana na...
View ArticleDi Maria Aombwa Kurudi Hispania
Mshambuliaji wa mabingwa wa soka nchini Hispania FC Barcelona Lionel Messi amemtaka Angel Di Maria kufikiria kurejea nchini humo na kujiunga nae Camp Nou.Messi amemuomba Di Maria kufanya hivyo,...
View ArticleValencia CF Waisimamisha Real Madrid
Vinara wa ligi kuu ya soka nchini Hispania (La Liga) Real Madrid wameshindwa kufurukuta mbele ya Valencia wanapigania kutokusha daraja msimu huu.Real Madrid walikubali kupoteza mchezo huo wa kiporo kwa...
View ArticleLeicester City Wajitetea Kwa Bao La Ugenini, Juventus Waichapa Porto
Bao la kufutia machozi lililofungwa na mshambuliaji Jamie Vardy, limeiweka Leicester City katika mazingira ya kuendelea kuwa katika ushindani wa kusaka nafasi ya kutinga robo fainali ya ligi ya...
View ArticleMan Utd Yasonga Europa League Kwa Kishindo
Klabu ya Man Utd imefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya Europa League baada ya kuifurusha Saint-Etienne ya Ufaransa kwa kuifunga bao moja kwa sifuri kwenye mchezo wa mkondo wa pili uliounguruma usiku...
View ArticleUnesco Youth Forum Waendesha Semina Ya Kuwaelekeza Vijana Namna Ya Kushiriki...
Bwana Jackson Oganga akiwa anatoa maelezo kwa vijana jinsi ya kupata 'Scholarship' katika zinazotolewa sehemu mbalimbali.Mwakilishi wa Asasi ya Kiraia Global Peace Foundation (GPF) Tanzania...
View ArticleSamia: Ushirikiano Udumishwe Katika Matumizi Ya Maji Ya Bonde La Mto Nile
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Mlimani ya jijini Dar es salaam walioshiriki matembezi na kuimba nyimbo maalum...
View ArticleZiara Ya Mkurugenzi Wa Namaingo Kuimarisha Ujasiriamali Mikoani
Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Ubwa Ibrahim akiwa katika moja ya ,ya mikoa kukagua na kuimarisha shughuli za Wajasiriamali wanachama wa kampuni hiyo katika mikoa mbalimbali nchini....
View ArticleKaimu Mkuu Wa Mkoa Wa Tanga Aipongeza Tayodea Kwa Kusaidia Kuwainua Vijana...
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa uzinduzi wa akibadhi vifaa vya vijana wa mradi wa WEKEZA (Wezesha Ustawi Endelevu kiwango cha Elimu Kuzuia Ajira kwa watoto)...
View ArticleWengi Wajitokeza Kupima Afya Bure Kanisa La Eagt Lumala Mpya Jijini Mwanza.
Zoezi la upimaji wa Afya Bure kwa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani linalofanyika kwa siku tangu kuanzia jana, linaendelea katika viwanja vya Kanisa la EAGT Lumala Mpya lililopo nyuma ya Soko...
View ArticleNdalichako Ageukia Ada Shule Binafsi
Waziri wa Elimu, Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako amezitaka taasisi za dini kuziangalia shule zao ili ziwe na ada za kuridhisha ambazo haziwaumizi wazazi ili zifanane na...
View ArticleUjenzi Wa Ubungo Interchange Kuanza Mara Moja
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Eng. Patrick Mfugale akifafanua jambo wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa barabara za juu eneo la ubungo (Interchange) utakaotekelezwa...
View ArticleAlikiba Na Yvone Chakachaka Ndani Ya Studio Moja Kufanya Rekodi
Alikiba bado anaendelea kufanaya vizuri katika muziki wake na sasaivi anatamba na video ya Aje aliyoifanyia remix ambayo inafanya vizuri katika mtandao wa you tube ikiwa tayari imeshaangaliwa na...
View ArticleAfrika Yapendekeza Nafasi Tano Zaidi Kombe la Dunia
Viongozi wa vyama vya soka barani Afrika, wapendekeza nafasi 10 kwa ajili ya mataifa ya bara hilo kushiriki kwenye fainali za kombe la dunia, ambazo kuanzia mwaka 2026 zitashirikisha mataifa...
View ArticleMarais Wa China Na Italia Wakutana Mjini Beijing
Rais Xi Jinping wa China jana hapa Beijing alikutana na mwenzake wa Italia Sergio Mattarella na kukubaliana kuendeleza uhusiano kati ya nchi zao ufikie ngazi mpya na kuwanufaisha zaidi watu wa nchi...
View ArticleKampuni Ya China Yawafadhili Wanafunzi Wa Kenya Kusoma Nchini China
Serikali ya Kenya na Ubalozi wa China nchini Kenya wamefanya hafla ya kuwaaga wanafunzi 55 wa kikundi cha pili wanaokuja China kuendelea na masomo. Wanafunzi hao watasoma kozi ya reli kwa miaka minne...
View Article