TFF Yamshukuru Rais DK. Magufuli
Shirikisho la soka nchini TFF, limemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli kwa kuridhia kufunguliwa tena Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.Kadhalika, TFF...
View ArticleTunasubiri ‘Dk 90’ Za Kesho
Nyasi za uwanja wa Sokoine zitawaka moto hapo kesho kufuatia uwepo mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara unaozikutanisha timu mbili hasimu kutoka jiji la Mbeya,wenyeji wa mchezo Tanzania...
View ArticleJese Rodriguez Amnyima Usingizi Aitor Karanka
Klabu ya Middlesbrough ina matumaini ya kufanikisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa klabu bingwa duniani (Real Madrid) Jese Rodriguez ambaye kwa sasa anaitumikia Paris St-Germain.Middlesbrough...
View ArticleUongozi Wa Bodaboda Mkoani Mwanza Wapongeza Zoezi La Ukaguzi Wa Polisi
Binagi Media GroupUmoja wa waendesha bodaboda mkoani Mwanza umepongeza zoezi la ukaguzi wa vyombo hivyo linaloendeshwa na jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani.Jana Mwenyekiti cha umoja huo,...
View ArticleMkutano Wa 28 Wa AU Kuanza Leo
Mkutano wa 28 wa Umoja wa Afrika unaanza leo Jumatatu Januari 30 ambapo watahudhuria wakuu wa nchi na viongozi wa serikali wa nchi 54 kutoka bara la Afrika. Viongozi hawa wanatazamiwa kujadili maswala...
View ArticleDimitri Payet Arudi Nyumbani Ufaransa
Hatimae kiungo mshambuliaji kutoka nchini Ufaransa Dimitri Payet amefanikisha mpango wa kuachana na wagonga nyundo wa jijini London (West Ham Utd), kabla ya kufungwa kwa dirisha dogo la usajili.Payet...
View ArticleAFCON 2017: Michel Dussuyer Abwaga Manyanga
Kocha kutoka nchini Ufaransa Michel Dussuyer ametangaza kujiuzulu kukifundisha kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast, ikiwa ni siku chache baada ya timu hiyo kuondoshwa kwenye fainali za Afrika za...
View ArticleIkounga: “Ukanda Mmoja na Njia Moja” utasaidia kuendeleza rasilimali watu...
Mjumbe wa Umoja wa Afrika anayeshughulikia mambo ya rasilimali watu, sayansi na teknolojia Martial De-Paul Ikounga amesema, pendekezo la "Ukanda Mmoja na Njia Moja" litasaidia kuimarisha ushirikiano...
View ArticleKenya Imepokea Kundi La Pili La Treni Za Abiria
Kundi la pili la vichwa vya treni za abiria na mizigo ya kiwango cha SGR vimewasili katika bandari ya Mombasa.Hadi sasa Kenya imepokea jumla ya vichwa 10 vya treni baada ya kundi la kwanza la vichwa...
View ArticleChelsea Yamnyatia Jackson Martinez
Klabu ya Chelsea imetuma ofa ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Atletico Madrid Jackson Martinez ambaye kwa sasa anaitumikia Guangzhou Evergrande.Wakala wa mshambuliaji huyo kutoka...
View ArticleDavid Abdallah Burhan Afariki Dunia
Kipa bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2013/2014, David Abdallah Burhan amefariki dunia asubuhi ya leo katika hospitali ya Bugando, Mwanza.Kipa huyo wa Kagera Sugar ya Bukoba alifikishwa...
View ArticleRais Wa Marekani Kuzifanyia Mabadiliko Idara Za Usalama Wa Taifa Za Ikulu
Rais wa Marekani Donald Trump amesaini nyaraka mbili za urais za kulifanyia mabadiliko baraza la usalama wa taifa na lile la usalama wa ardhi na pia kuitaka wizara ya ulinzi ya Marekani kutoa mpango wa...
View ArticleWasafiri 25 Wa China Waokolewa
Ubalozi mdogo wa China huko Kota Kinabalu nchini Malaysia umesema watalii 25 wa China wameokolewa baada ya meli waliyokuwa wakisafiria kuzama kwenye jimbo la Sabah, Borneo Kaskazini nchini humo.Boti...
View ArticleNi Zamu Ya Adam David Lallana
Uongozi wa klabu ya Liverpool upo kwenye harakati za kumsainisha mkataba mpya kiungo mshambuliaji Adam David Lallana.Liverpool wamejipanga kukamilisha mpango huo kwa kumsainisha Lallana mkataba wa...
View ArticleMakampuni Ya Marekani Yalaani Agizo La Donald Trump
Agizo la Donald Trump ambalo linapiga marufuku raia kutoka mataifa mengi ya Mashariki ya Kati kuingia nchini Marekani limezua hali ya sintofahamu katika makampuni ya Silicon Valley. Makampuni ya...
View ArticleSerikali Na Upinzani DRC Wakwama Kutiliana Sahihi
Serikali na makundi ya upinzani nchini DR Congo wameshindwa kutiliana saini makubaliano ya kugawana mamlaka,hatua iliyopaswa kufanyika tarehe 28 Januari.Maaskofu wa kanisa katoliki Cenco wanaoratibu...
View ArticleJose Mourinho Ageukia EFA Cup, FA Cup
Jose Mourinho ameindoa Man Utd katika mbio za kuwania ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini England (PL) kwa msimu huu 2016/17.Mourinho alitangaza kukiondoa kikosi chake katika mchakato huo, mara baada ya...
View ArticleUN Yaiomba Kenya Isimamie Kikosi Cha Kulinda Amani Darfur, Sudan
Kenya na Umoja wa Mataifa zimeafiki kuboresha uhusiano wao uliozorota baada ya kufutwa kazi kwa kamanda wa Jeshi la Kenya aliyekuwa katika kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa Sudan...
View ArticleUjerumani Yakosoa Sheria Ya Kibaguzi Ya Marekani
Kansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kupasisha sheria ya kuwazuia wakimbizi na raia wa nchi saba za Kiislamu kuingia Marekani.Angela Merkel, amesema jitihada za...
View ArticleBranislav Ivanovic Kuondoka Stamford Bridge
Klabu ya West Bromwich Albion imeingai kwenye harakati za kumuwania beki wa pembeni wa Chelsea Branislav Ivanovic.Ivanovic anaamini mchezo wa kombe la FA dhidi ya Brentford uliochezwa siku ya jumamosi...
View Article