Quantcast
Channel: Mdimu's Blog
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mark Clattenburg Kuzikimbia Figisu Figisu Za England

Mwamuzi Mark Clattenburg anatarajia kuondoka nchini England na kutimkia Saudi Arabia, ambapo ataendelea na shughuli zake za usimamizi wa sheria 18 za mchezo wa soka.Bodi ya waamuzi nchini England...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kenya Kukusanya Fedha Kutoka Kwa Wahisani Na Sekta Binafsi Kukabiliana Na Ukame

Kenya ina lengo la kukusanya fedha kutoka kwa wadau mbalimbali na mashirika ya Kenya kuunga mkono utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa watu wapatao milioni 3 walioathiriwa na ukame.Mkuu wa idara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Watumishi Wawili Wa Tra Wanashikiliwa Na Vyombo Vya Dola Kwa Tuhuma Za...

Watumishi Wawili Wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wanashikiliwa na vyombo vya dola wakituhumiwa kujihusisha na upitishaji Wa kemikali ambazo hutumika kutengenezea dawa za kulevya aina ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Libya Yaiomba NATO Kuisaidia Kuendeleza Jeshi Lake

Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imeomba NATO kuisaidia kuendeleza jeshi lake. Katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg amesema NATO iko tayari kuisaidia Libya kujenga taasisi imara za ulinzi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Syria Yaitaka Uturuki Kuondoa Jeshi Lake Kutoka Syria Na Kufunga Mpaka Kati...

Serikali ya Syria imeitaka Uturuki iondoe jeshi lake kutoka Syria na kufunga mipaka kati ya nchi mbili ili kuzuia magaidi wasiingie nchini humo. Mjumbe wa serikali ya Syria kwenye mazungumzo ya Astana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

Mlinda mlango anaeendelea kukumbukwa duniani kote Oliver Rolf Kahn, ameonyesha kuguswa na kipigo cha mabao matano kwa moja walichokapata Arsenal kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa 16 bora wa ligi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu: Serikali Kupiga Marufuku Pombe Za Viroba

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuanzia Machi mosi, 2017 Serikali itapiga marufuku matumizi ya pakiti za plastiki kufungashiwa pombe kali maarufu kwa jina la ‘viroba’.“Tumekaa na wenye viwanda na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Nape Afanya Msako Kariakoo Leo Wa Kukamata Wanaodurufu Kazi Za Wasanii

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (katikati) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Dkt. Hassan Abbas (kushoto) pamoja na maafisa wa Mamlaka ya Mapato...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA HAOOOOO ZANZIBAR, WAENDA KUCHUKUA MAKALI YA KUIA YANGA FEB 25

Wachezaji wa Simba wakiingia eneo la bandari kwenda kupanda boti ikiwa ni safari ya Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kuelekea mechi yao na watani wao wa Jadi Yanga utakaopigwa Februari 25....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAGENI MBALIMBALI IKULU...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Amadou Hott aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzoRais wa Jamhuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Makamba Azungumza Na Mabalozi Kuhusu Uharibifu Wa Mazingira

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mh. January Makamba (katikati) akiongea wakati wa mkutano na na Mabalozi ambao ni Washirika wa Maendeleo. Mkutano huo ulifanyika katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dc Muheza Atembelea Kituo Cha Afya Ubwari Kujionea Zoezi La Upasuaji Macho...

MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katika akiingia kwenye kituo cha Afya Cha Ubwari leo wakati alipokwenda kuangalia zoezi la upasuaji wa macho kwa wakazi wa wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uundwaji Wa Meli Mbili Za MV Njombe Na MV Ruvuma Wakamilika

Meli mbili za Mv. Ruvuma na Mv Njembe zikiwa katika cherezo katika Bandari ya Itungi, Wilayani Kyela Mkoani Mbeya, zikiwa katika hatua za mwisho kabla ya kuanza kufanyiwa majaribio ndani ya Ziwa Nyasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Space X Yarusha Roketi Kupeleka Vifaa Kwenye Kituo Cha Anga Cha ISS

Kampuni ya teknolojia ya anga ya juu ya Marekani Space X imerusha kwa mafanikio roketi yake ya 10 ya kupeleka vifaa kwenye kituo cha anga za juu cha kimataifa ISS mapema jana kutoka kwenye kituo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mjumbe Maalum Wa Rais Xi Jinping Wa China Ahudhuria Sherehe Ya Kuapishwa Kwa...

Mjumbe maalum wa rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa mkutano wa halmashauri ya kisiasa wa China Ma Peihua tarehe 18 mwezi Februari alihudhuria sherehe ya kuapishwa kwa rais Adama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kenya Yatafuta Dola Milioni 114 Za Kimarekani Kupunguza Madhara Ya Ukame

Serikali ya Kenya imesema inahitaji dola milioni 114 za kimarekani kupambana na madhara ya ukame unaoikabili nchi hiyo, wakati idadi ya watu wenye upungufu wa chakula ikiongezeka kufikia milioni 3...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mbunge Viti Maalumu Iringa Aendeleza Ziara Katika Wilaya Ya Mufindi

MBUNGE wa Viti Maalum Iringa kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Rose Tweve ameendelea na ziara zake katika Wilaya za mkoa huo ambapo mwishoni mwa wiki hii alitembelea kata ya Wambi iliyopo kwneye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNDP Yajenga Vyoo Vya Shilingi Milioni 510 Kusaidia Usafi Kilimanjaro

Mwakilishi wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini ,Alvaro Rodriguez pamoja na Mkuu wa wilaya ya Moshi Kippi Warioba wakizindua rasmi vyoo vilivyojengwa katika shule za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Wa Gambia Awaachia Huru Wafungwa 174

Rais Adama Barrow wa Gambia amewaachia huru wafungwa 174 kutoka kwenye gereza la taifa lililoko katika kitongoji cha Banjul, mji mkuu wa nchi hiyo.Hatua hiyo inachukuliwa kama ishara ya urafiki kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WFP Yapanga Kusambaza Chakula Kwa Watu Milioni 4.6 Nchini Sudan

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani WFP limetangaza mpango wa kusambaza chakula kwa watu milioni 4.6 nchini Sudan wakiwemo watu milioni 3.4 wa Darfur na milioni 1.2 wa maeneo ya Kati na...

View Article
Browsing all 1295 articles
Browse latest View live