Waziri Nape Aviambia Vyombo Vya Habari Kutohofia Kuikosoa Serikali
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya habari kuwa huru huku akisema kuwa serikali haina uadui hivyo vyombo hivyo havipaswi kuigopa kwa sababu imebeba dhamana...
View ArticleRais Wa Sudan Awasamehe Waasi 259 Wa Kundi La Upinzani
Rais Omar Al-Bashir wa Sudan amesaini amri ya kuwasamehe waasi 259 wa kundi la upinzani waliohukumiwa adhabu ya kifo.Waliosamehewa ni pamoja na waasi waliokamatwa na jeshi la serikali huko Darfur, na...
View ArticleMings Aingia Jela Ya Soka, Kukosa Michezo Mitano
Beki wa klabu ya AFC Bournemouth Tyrone Mings, amefungiwa kucheza michezo mitano ilio chini ya chama cha soka nchini England (FA), baada ya kukutwa na hatia ya kumkanyaga kwa makusudi mshambuliaji wa...
View ArticleWatu 16 Wauawa Kwa Mlipuko Kwenye Harusi Kaskazini Mwa Iraq
Polisi nchini Iraq wamesema, washambuliaji wawili wa kujitoa muhanga walijilipua jana usiku kwenye sherehe moja ya harusi katika mkoa wa Saladin, Kaskazini mwa Iraq, na kusababisha vifo vya watu 16 na...
View ArticleAfrika Kusini Yafuta Ombi La Kujitoa ICC
Umoja wa Mataifa umethibitisha kuwa Afrika Kusini imeomba rasmi kutaka kufuta ombi lake la kujitoa mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai ICC na kusimamisha utaratibu wa kujiondoa.Tarehe 19, mwezi...
View ArticleMahakama Ya Sweden Yaamua Kuwafukuza Wakimbizi Wa Afghanistan
Mahakama ya rufaa nchini Sweden imeamua kuwafukuza wakimbizi vijana watano kutoka Afghanistan wanaotuhumiwa kuhusika na ubakaji wa makundi dhidi ya mvulana mmoja mwenye umri wa miaka 15 mwezi Oktoba...
View ArticleMadaktari Wa Kenya Walegeza Msimamo Baada Ya Serikali Kujitoa Kwenye...
Madaktari wa Kenya wamelegeza msimamo wao baada ya mazungumzo ya miezi mitatu kuhusu nyongeza ya mshahara, baada ya serikali kuamua kujitoa kwenye mazungumzo hayo ya kuwaamuru magavana waandike barua...
View ArticleUmoja Wa Nchi Za Kiarabu: Mapema Kujadili Suala La Kuirudisha Syria Kwenye...
Katibu mkuu wa Umoja wa Nchi za Kiarabu Bw. Ahmed Abul-Gheit amesema ni mapema sana kujadili suala la kuirudisha Syria kwenye Umoja huo.Akizungumza baada ya mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi...
View ArticleMwanjali Kusubiri Hadi Mwezi Ujao
Beki wa kati wa Simba, Method Mwanjali ataendelea kuwa nje kwa mwezi wote wa Machi kutokana na maumivu ya goti.Mwanjali ambaye ni raia wa Zimbabwe hajajumuishwa kwenye kikosi kilichoondoka leo Dar es...
View ArticleLA GALAXY Kumpeleka Marekani Zlatan Ibrahimovic
Klabu ya LA GALAXY huenda akaharibu mipango ya Man Utd ya kutaka kumbakisha mshambuliaji wao kutoka nchini Sweden Zlatan Ibrahimovic, kwa kumsainisha mkataba mpya kabla ya mwisho wa msimu huu.LA GALAXY...
View ArticleAlex Oxlade-Chamberlain Kuondoka Emirates Stadium
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain ametajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao huenda wakaondoka mwishoni mwa msimu huu, endapo Arsene Wenger ataendelea kuwa meneja wa The...
View ArticleAntonio Conte Kushusha Kikosi Cha Maangamizi
Bosi wa kikosi cha Chelsea Antonio Conte amejipanga kutumia silaha zake zote katika mchezo wa hatua ya robo fainali ya kombe la FA dhidi ya Man Utd, ambao umepangwa kuchezwa mwanzoni mwa juma...
View ArticleTanesco Yatoa Siku 14 Kwa Wadaiwa Bili Za Umeme Kulipa, Vinginevyo Huduma Ya...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidSHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), limetoa siku 14 kwa Wateja wake wote linalowadai kulipa madeni yao, vinginevyo litasitisha utoaji wa huduma ya nishati kwa...
View ArticleMpina Aipongeza Miradi Ya Muungano Pemba
Naibu Waziri ofisi ya makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina, akipongeza miradi ya muungano kisiwani Pemba, wakati wa Ziara yake ya kutembelea Miradi Hiyo, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya...
View ArticleMax Allegri Aitega Juventus FC, Azitamani Arsenal, FC Barcelona
Uongozi wa klabu bingwa nchini Italia Juventus FC, umepewa mtihani mzito na meneja wa kikosi cha klabu hiyo Max Allegri wa kuhakikisha wanampatia mkataba mpya kabla ya mwisho wa mwezi huu.Allegri...
View ArticleAlexis Sanchez Amchefua Ian Holloway
Meneja wa klabu ya Queens Park Rangers Ian Holloway, amemshukia mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez na kumuita mbinafsi asievumilika.Holloway ameibuka na kumshukia mshambuliaji huyo, baada ya...
View ArticleRobo Fainali Asfc Simba Kucheza Machi 19, 2017
Mechi mbili za kwanza hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Azam (Azam Sports Federation Cup 2016/2017), zitachezwa Machi 18 na 19, mwaka huu kwenye viwanja viwili tofauti.Mechi hizo ni kati ya...
View ArticleMaandalizi Ya Michezo Ya Young Africans V Zanaco Na Azam FC V Mbabane
Maandalizi yote kwa michezo miwili ya kimataifa, yamekamilika. Michezo hiyo ni kati ya Young Africans ya Tanzania na Zanaco ya Zambia utakaochezwa Jumapili kuwania taji la Ligi ya Mabingwa Afrika pia...
View ArticleGeorge Lwandamina: Tutapambana Kwa Uwezo Wetu
Kocha mkuu wa mabingwa wa soka Tanzania bara Young Africans George Lwandamina wamewatahadharisha mashabiki wa klabu hiyo kwa kuwaambia wasitarajie matokeo ya mteremko katika mchezo wa kesho wa ligi ya...
View ArticleTanzania Yapanda Viwango Vya Ubora Wa Soka
Tanzania imepanda kwa nafasi moja katika viwango vya soka vinavyotolewa na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kutoka nafasi ya 158 mwezi Februari hadi nafasi ya 157 mwezi Machi, kati ya wanachama 211 wa...
View Article